Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi akizungumza na waandishi wa
habari wa Mkoa wa Mbeya (hawapo pichani) alipowaita kwa kuijitambulisha
kwao na kutoa taarifa ya matukio mbali mbali yaliyotokea kwa kipindi cha
Mwaka 2013.
Waandishi
wa habari kutoka vyombo mbali mbali jijini Mbeya,wakiendelea kuchukua
taarifa aliyokuwa akiitoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed
Msangi.
Waandishi
wa habari kutoka vyombo mbali mbali jijini Mbeya wakimsikiliza kwa
makini Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi (hayupo
pichani).
Mwanalibeneke
Othman Michuzi (wa tatu kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na
Waandishi wa Habari toka vyombo mbali mbali jijini Mbeya mara baada ya
Mkutano na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya.kutoka Kulia ni Ezekiel
Kamanga (Bomba FM),Freddy Jackson (Mbeya FM),Freddy Njeje (Tone
MultMedia Group),Joseph Mwaisango (Mbeya Yetu Blog),Dada Pendo Fundisha
(New Habari) pamoja na Shomi Mtaki (Uhuru/Mzalendo).
Credits: Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment