Uongozi
wa klabu ya Simba umempandisha cheo aliyekuwa hafisa habari wa klabu
hiyo Ezekiel Kamwaga na kuwa katibu mkuu mpya, Kamwaga anachukua nafasi
ya Evodius Mtawala aliyepata ajira akiwa kama mkurugenzi wa kitengo cha
wanachama na sheria pale TFF.
Klabu ya Simba pia imemteua mwandishi mkongwe wa habari za michezo Asha Muhaji kuwa hafisa habari mpya wa klabu hiyo.
Taarifa Zaidi endelea kufuatilia mtandao huu makini kabisa wa habari za michezo..CHANZO SHAFFIDAUDA
Taarifa Zaidi endelea kufuatilia mtandao huu makini kabisa wa habari za michezo..CHANZO SHAFFIDAUDA
No comments:
Post a Comment