Pages

Wednesday, January 8, 2014

MAASKOFU WAMTEMBELEA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBANI KWAKE ZANZIBAR.

DCIM100MEDIA Mratibu wa Dua Maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya wa  2014  Allen Mbaga akizungumza na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

  DCIM100MEDIARais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa binti wa Mratibu wa Dua maalum ya kuiombea Zanzibar, Clare Allen Mbaga walipomtembelea na kumuombea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
DCIM100MEDIAPicha ya pamoja ya Kamati maalum ya kuiyombea Zanzibar kwa ajili ya mwaka mpya 2014 na Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi ilipomtembelea nyumbani kwake Maisara ikiwa ni miongoni mwa maadhimisho ya miaka 50 ya Mpinduzi ya Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment