MAHAKAMA YAHAIRISHA KUTOA UAMUZI PINGAMIZI LA ZITTO MPAKA KESHO MCHANA
Mahakama
Kuu Kanda ya Dar Es Salaam,imeahirisha kutoa au kutotoa zuio la muda
kwa kamati Kuu ya CHADEMA kutojadili uanachama wa Zitto Kabwe mpaka
kesho mnamo majira ya saa nane mchana.
No comments:
Post a Comment