![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJjEtVf2x-RcsQDfGBqXhFe2rNKqgG6jYqUyhl8PcxC-TO5aPyVShom2HoNx02IvrZ4eRkUNxeJSZkxCPVdAjRTF3h4K_ST01dHcWc6Y7rB0IgQlI0VIuNa7KXXUXpFjd7YFmKJQiPu7M4/s280/unnamed+%2815%29.jpg)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro,
wakati alipofika Ofisini kwake kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, Jan
30, 2014 kwa mazungumzo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjC9s4Df16QTcrdKlsWHmZDUlKoVJomFPG7wJBg5Na08sgEOWc4gsZYC8L01NwWWQCssyM6INMmu0ZLsRRDyrTyvT_5p-N0WjsqCAkM07g8aDYivYcPOEEg_omTWqlaVYiiYcTp-yhS4GYO/s280/unnamed+%2816%29.jpg)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwakaribisha Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru
Kawambwa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof Makame
Mbarawa (katikati) wakati walipofika Ofisini kwake kwa Makamu Ikulu Dar
es Salaam, Jan 30, 2014 kwa mazungumzo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtXRl1_42tuCLp_iPQg7O-ObQOvjOnN4jMNskw_Ys4xRldkyCQE1Nj9tCgW4qCud1OJryjLOf5OXiPTGV_3e2HhfiSz4c9JHUaNtPTjMuFCQ-Gmg_uGKEHvCHrnfCsQDnVYnC1u1Qf0wcJ/s280/unnamed+%2817%29.jpg)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru
Kawambwa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof Makame
Mbarawa (katikati) wakati walipofika Ofisini kwake kwa Makamu Ikulu Dar
es Salaam, Jan 30, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment