Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisani Kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa, aliyefariki dunia Januari 01, 2014
huko nchini Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Dkt.
Bilal alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini
Dar es Salaam, Jana jioni. Picha na OMR.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mke wa marehemu Dkt. Mgimwa, Jane Mgimwa, wakati alipofika
kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar es
Salaam, Jana jioni. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwafariji wanafamilia wa marehemu Dkt. Mgimwa, wakati
alipofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar
es Salaam, Jana jioni. Picha na OMR
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akisani Kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa, aliyefariki dunia Januari 01, 2014 huko nchini Afrika ya Kusini alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Dkt. Bilal alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B, jijini Dar es Salaam, Jana jioni. Picha na OMR Baadhi ya Mawaziri na wabunge waliofika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B
No comments:
Post a Comment