Pages

Saturday, January 25, 2014

MBEYA CITY WATUA BUKOBA, WAJIFUA KWA MTANANGE NA KAGERA SUGAR LEO


Wachezaji wa Mbeya City wakifanya mazoezi mepesi kabla leo kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba kujiweka tayari na mchezo wao dhidi ya Kagera Sukar ya hapa Bukoba.
Kocha wa Mbeya City akijiuliza hapa...swala kubwa ni kusaka alama tatu muhimu
Wachezaji wa Mbeya City wakifanya mazoezi mepesi mepesi hii leo kwenye uwanja wa Kaitaba Stadium
Makipa nao wakipasha hapa kujiweka tayari kwa mtanange wao na Kagera Sugar
Kocha Juma Mwambusi wa Mbeya City akipata maji ya kunywa hapa.
Kocha Juma Mwambusi wa Mbeya City akiteta na wachezaji wake leo wakati wa mazoezi, Hakika ni swala la kuangalia uwanja ulivyo ili  wautumie vizuri na hatimaye wajichukulie pointi tatu.
Kocha Juma Mwambosi wa Mbeya City (kulia) akiangalia vijana kama wako sawa kwa mtanange wa LEO.
Kocha Juma Mwambosi wa Mbeya City akiangalia vijana wake wakati wa mazoezi tayari kwa mtanange wa LEO jumamosi tarehe 25 kwenye Uwanja wa Kaitaba.
Kiongozi wa Mbeya City (kushoto) akiteta jambo leo wakati wa mazoezi ya timu yao Mbeya City kwenye uwanaja wa kaitaba.
Ndinga ya Mbeya City - Shakazulu
Picha zote na Faustine Rutta

No comments:

Post a Comment