dr.
mallole alitoa pole ya mifuko ya unga wa sembe 150, kaya zaidi ya 147
zilizolewa na mafuriko ya maji, mpaka kupelekea baadhi ya wananchi
kwenda kujistili kwenye madarasa ya shule ya sekondary mpunguzi. mafuriko
hayo yaliyosababishwa na ufinyu wa vidaraja vidogo ambavyo vilizidiwa
na wingi wa maji na kuingia kijijini, akiongea na wananchi uku akiwapa
pole mh. mallole alilaani kitendo cha wakandalasi wa barabara kuweka
vidaraja vidogo
|
No comments:
Post a Comment