Wazazi
wapya sasa wanaweza kuwa na suluhisho la woga wao unaotokana na ulalaji
wa watoto wachanga kwenye chumba chao wenyewe kwa mara ya kwanza.
Kusaidia
kupunguza sehemu ya pressure hizi, kundi la wazazi kutoka Boston
limeanzisha app ya simu iitwayo Mimo inayoweza kufuatilia upumuaji wa
mtoto, joto na namna anavyojigeuza.
Taarifa
zote hizi hutumwa kwenye app ya smartphone na zinaweza kutumiwa kwa
aidha kuwahakikisha wazazi kuwa kila kitu kiko sawa ama kuwashtua iwapo
kuna tatizo.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
Mfumo wa Mimo unapatikana kwaajili ya watoto wanaoanzia siku moja hadi miezi 12 itaingia sokoni mwezi ujao.
SOURCE: DAILY MAIL
No comments:
Post a Comment