Askari
walilikuwa wakielekea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM
kata ya Nduli Iringa mjini wakitazama gari ambalo alikuwa
akiendesha OCD Iringa lililopata ajali majira ya saa 10 jioni leo
jumapili japo hakuna aliyepoteza maisha ktk ajali hii iliyotokea
kona la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma. |
No comments:
Post a Comment