Pages
▼
Monday, January 27, 2014
MPINGA CUP MZUNGUKO WA PILI MECHI ZILIZOFANYIKA KATIKA SHULE A MSINGI MUUNGANO MWISHONI MWA WIKI
Wachezaji wa Timu ya Polisi Ufundi ya Temeke na Timu ya Lusaka ya
temeke wakiwa wanawania mpira katika mechi mojawapo ya mashindano ya
Mpinga Cup mzunguko wa pili, Timu ya Polisi Ufundi iliibuka na ushindi
wa goli 1 – 0.
Mchezaji wa Timu ya Kilimo Road ya Temeke akipiga moja ya mpira wa
adhabu kuelekea katika lango la Timu ya Transforma ya Temeke, katika
mchezo huu ndani ya dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli 1-1, na
ndipo penalty zilpigwa ili kumpata mshindi na timu ya Transforma
ilishinda kwa magoli 5 – 4.
Mchezaji wa Timu ya Transforma ya Temeke akipiga moja ya penalti
kuelekea katika lango la Timu ya Kilimo Road ya Temeke, katika mchezo
huu ndani ya dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli 1-1, na ndipo
penalti zilpigwa ili kumpata mshindi na timu ya Transforma ilishinda kwa
magoli 5 – 4. Mchezaji
wa Timu ya Kilimo Road ya Temeke akipiga moja ya penalti kuelekea
katika lango la Timu ya Transforma ya Temeke, katika mchezo huu ndani ya
dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli 1-1, na ndipo penalty
zilpigwa ili kumpata mshindi na timu ya Transforma ilishinda kwa magoli 5
– 4. Mchezaji
wa Timu ya Transforma ya Temeke akipiga moja ya penalti kuelekea katika
lango la Timu ya Kilimo Road ya Temeke, katika mchezo huu ndani ya
dakika 90 timu zote zilitoka sare ya goli 1-1, na ndipo penalti zilpigwa
ili kumpata mshindi na timu ya Transforma ilishinda kwa magoli 5 – 4
No comments:
Post a Comment