KATIBU
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa),Bwana
Jumane Sagini akiongea na waandishi wa habari muda mfupi mara baada ya
kusainiwa mkataba wa kusimamia mradi wa mabasi yaendayo haraka kati ya
Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART) na Kampuni ya
Uholanzi ya REBEL Group jijini Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni
Kaimu Afisa Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo na Mshauri wa Masuala ya
Fedha wa REBEL Group, Bw.Jeroen Kok (kushoto).
Kaimu
Afisa Mkuu wa DART, Bi. Asteria Mlambo(kulia) akibadilishana nyaraka za
makubaliano na Mshauri wa Masuala ya Fedha wa REBEL Group, Bw.Jeroen
Kok (kushoto) muda mfupi baada ya kusaini mkataba jijini Dar Es Salaam
jana anayeshuhudia katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala
za Mikoa na Serikali za Mitaa),Bwana Jumanne Sagini.
No comments:
Post a Comment