MSANII MAARUFU WA KUNDI LA FUTUHI MZEE DUDE AFARIKI DUNIA
Mzee Dude enzi za uhai wake.
MSANII
wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude
amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini
Mwanza leo jioni!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!
No comments:
Post a Comment