Mtoto Cliff Moses Kilonge (10)
Mtoto
Cliff Moses Kilonge (10) anayesoma darasa la tano katika shule ya msingi
Ukombozi, Mtwivila katika Manispaa ya Iringa, ametoweka nyumbani na
hajulikani aliko.
Inaelezwa kwamba, mtoto huyo aliondoka jana Jumatatu asubuhi akiwa amevaa sare za shule, lakini taarifa zinasema hakufika.
Juhudi za kumtafuta kila kona zimefanyika, lakini mpaka sasa hajapatikana.
Kwa
yeyote atakayefanikiwa kumuona, tafadhali atoe taarifa katika kituo
chochote cha polisi ama awasiliane na mama wa mtoto huyo kupitia namba
0752317759
No comments:
Post a Comment