Pages

Sunday, January 19, 2014

MWENGE WA JUMUIYA YA MADOLA WATEMBELEA MUHIMBILI


 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Marina Njelekela akipokea mwenge kutoka kwa kiongozi  wa michezo ya Olimpiki kutoka Kenya Bw. Kipchoge Keino
 Dkt. Njelekela akimkabidhi mwenge mtoto anayeugua ugonjwa wa saratani.
 Watoto wakiendelea kufurahia mwenge.
Watoto wakiendelea kufurahia.
 Watoto wakiendelea kufahia.
 Muuguzi akiwa amemsaidia mtoto aliyelazwa wodini kushika mwenge.
 Aliyechuchumaaa kutoka kushoto ni Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Dianna Melrose akiwa na watoto katika mojawapo ya wodi za kulaza watoto.
 Watoto wakishangilia kwa furaha pamoja na ujumbe wa mbio za mwenge wa jumuiya ya madola.
Mtoto aliyelazwa wodini akisaidiwa na muuguzi kuushika mwenge
 
********
Mwenge wa Jumuiya ya Madola (Queens Baton Relay) leo umetembelea
Hospitali ya Taifa Muhimbili jumapili ukiongozwa na Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Dianna Melrose pamoja na mshindi wa mbio za kilomita 1500 za jumuiya ya madola Bw. Filbert Bayi.

No comments:

Post a Comment