Pages

Tuesday, January 14, 2014

NADINE ANGERER NDIYE MCHEZAJI BORA WA DUNIA KWA WANAWAKE



 Mchezaji bora wa kike wa dunia ambaye amechukua nafasi hiyo baada ya kubeba tuzo ya Ballon D’or leo jijini Zurich, Uswiss ni kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani, Nadine Angerer.

Nadine ambaye pia ni kipa bora wa Ulaya, aliiwezesha Ujerumani kubeba ubingwa wa Ulaya baada ya kutoa penalti mbili katika fainali dhidi ya Norway.

No comments:

Post a Comment