Pages

Saturday, January 25, 2014

NEWS ALERT:UJENZI FLYOVER YA TAZARA KUANZA MUDA WOWOTE KUANZIA SASA

 mbalimbali zikionyesha Ujumbe kutoka Tanzania uliosafiri kwenda Japan ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto)  kwa upande wa Japan akiwepo Rais wa JICA na Mkurugenzi wa fedha wa JICA, wakiwa katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa kuanza ujenzi wa FLYOVER ya TAZARA. Ujenzi wa FLYOVER ya TAZARA  unategemewa kuaanza wakati wowote.
 Ujumbe wa Tanzania uliosafiri kwenda Japan ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto)  katika majadiliano ya utekelezaji wa mkataba huo. Kwa upande wa Japan yupo  Rais wa JICA na Mkurugenzi wa fedha wa JICA, wakiwa katika hatua za mwisho za kusaini mkataba wa kuanza ujenzi wa FLYOVER ya TAZARA. Ujenzi wa FLYOVER ya TAZARA  unategemewa kuaanza wakati wowote.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto)  katika majadiliano ya utekelezaji wa mkataba huo na viongozi wa JICA.Credits Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment