Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 13, 2014

ONYANGO PRODUCTION WANAKUJA NA MAMBO MAPYA 2014

 
kabuti akiwa mzigoni

 Onyango production chini ya camera man mwenye utaalamu wa hali ya juu kabuti Onyango amfanya interview na mtandao wetu wa dj sek na kuongelea mafanikio kwa mwaka 2013 na mipango ya mwaka 2014,Alisema kwamba kwa mwaka wa 2013 ulikuwa wa mafanikio kwake kwa kuwa alifanya kazi nyingi na makampuni tofauti na filamu zote alizo shoot zimefanya vizuri,akitoa mfano wa filamu ya TOM BOY ambayo iko njiani kutoka,
 
wa pili kutoka kulia ni kabuti akiwa na mastaa kama wolper walipokuwa wakishoot filamu mpya ya TOMB BOY

filamu zingine alizofanya kwa mwaka jana ni Hukumu yangu,paku na pusi na zingine nyingi.Akiongelea plan zake kwa mwaka 2014 Kabuti amesema kwamba nikuangalia wapi palikuwa na mapungufu kwa mwaka 2013 ili kwa mwaka huuu mpya 2014 makosa yasijirudie,kwa mwaka huuu ni kufanya kazi nyingi zaidi na zenye ubora mkubwa pia kabuti amewaomba watanzania kushirikiana naye ili kuweza kufikisha mbali sanaa yetu hii.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:

Post a Comment