Pages

Tuesday, January 28, 2014

PICHA ZA MKUTANO WA CHADEMA IRINGA

Hii ndio  Helbopta  iliyowakusanya  wana Iringa  uwanja wa Mwembetogwa 

Dr Slaa akiwasili katika  kiwanja cha Mwembetogwa 
Mbunge wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wana Iringa  
Mbunge Halima Mdea akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Iringa mjini 
Katibu  mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Dr Slaa akimpokea kada wa CCM ambae amehamia  Chadema leo ,kulia ni kata wa TLP Bw  Samson 
Dr Slaa akimpokea kada wa  TLP Bw Samson Mrisho ambae amejiunga na Chadema leo uwanja wa Mwembetogwa 
Dr Slaa akihutubia katika mkutano wa hadhara katikauwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa leo (picha na Francis Godwin Blog)

No comments:

Post a Comment