Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 10, 2014

PICHA::GARI LAACHA NJIA NA KUPINDUKA KAHAMA SHINYANGA






Ajali  imetokera kahama mkoani Shinyanga maeneo ya BPP kituo cha mafuta barabara ya lami mpya kona inayo elekea azania bank. Ajali imehusisha gari kubwa aina ya fuso lenye namba za usajiri T593 CPK na gari dogo aina ya hilux namba T305 AFR.Ajari inasemekana haina mtu aliepoteza uhai ila majeruhi baadhi wamewahishwa hospitali.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

JESHI LA POLISI WILAYANI HUMO NALO HALIKUA NYUMA KATIKA SWALA HILI,TAARIFA ZAIDI NA KPOG
SOURCE:KPOG

No comments:

Post a Comment