Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la Chipukizi
kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar
leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akikagua Brass Band ya Chipukizi
kabla ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar
leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji
kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja
vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya watembeaji
kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar katika viwanja
vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Mwenyekiwa CCM
(Visiwani) na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein na Viongozi
wengine waki imba wimbo wa mashujaa wakati wa ya kupokea maandamano ya
watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akihutubia baada ya kupokea
maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo January 5, 2014
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wana UVCCM baada
ya kupokea maandamano ya watembeaji kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo
January 5, 2014
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment