Pages

Tuesday, January 28, 2014

PICHA::RAIS KIKWETE ATUA MAGOLE, AKAGUA DARAJA LA DUMILA, AONGEA NA WANANCHI

Helkopta iliyokuja na Rais Kikwete ikitua eneo la daraja la Dumila mkoani Morogoro leo.


Rais Kikwete akishuka katika helkopta aliyokuja nayo.
Rais JK akielekea kukagua daraja la Dumila lililokatika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha eneo hilo.
Rais Kikwete akikagua daraja hilo.
RAIS Dk. Jakaya Kikwete leo ametua kwa helikopta kijijini Magole, Dumila ili kukagua daraja lililoharibiwa na mvua pamoja na kuongea na wananchi wa eneo hilo waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea Januari 22, mwaka huu wilayani Mvomero, Morogoro

No comments:

Post a Comment