POLISI WAWATAWANYA WAFUASI WA CHADEMA MAHAKAMA KUU LEO
Jeshi la Polisi lawatawanya wafuasi wa Zitto Kabwe na wafuasi watiifu wa
chama cha CHADEMA, waliotaka kupigana baada ya Mahakama Kuu kuhairisha
kutoa maamuzi ya kesi iliyofunguliwa na Zitto dhidi ya chama chake.
No comments:
Post a Comment