Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 14, 2014

Rais Kikwete aagana na Mwakilishi mkazi wa Umoja wa Mataifa ikulu jijini Dar


Mwakilishi mkazi na Mratibu wa Shughuli za Umoja wa Mataifa nchini(Resident Coordinator of the UN System) Bwana Alberic Kacou akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Ripoti ya mwaka Utendaji ya (UNDP) 2012-2013 wakati mwakilishi huyo alipokwenda kumuaga Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Bwana Kacou anaondoka baada ya muda wake wa utumishi kumalizika hapa nchini

Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment