Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 7, 2014

Rais Kikwete awaapisha Makamisha wa Tume ya Utumishi wa Mahakama


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha Makamishna wawili wa Tume ya utumishi wa Mahakama katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Walioapishwa katika hafla hiyo ni Dkt.Angelo Mtitu Mapunda na Mhe.Georgina Mulebya.Pichani Makishna hao Dkt.Angelo Mtitu M apunda na Mhe.Georgina Mulebya wakila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment