Rais
Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa leo amemkabidhi Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya vitabu vya hotuba zake alizozitoa
kwa nyakati tofauti wakati wa uongozi wake wa miaka kumi.Pichani Rais
Mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhi Rais Kikwete vitabu hivyo katika hafla
fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.VitABU hivyo
vimechapishwa na kampuni ya Mkuki na Nyota chini ya Mkurugenzi wake
Bwana Walters BugoyaPicha na Freddy Maro
TUJIKINGE NA UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA KWANI ZAIDI YA WATU 60,000 HUFARIKI
KILA MWAKA
-
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Abdul Mhinte katikati akiwa
katika picha ya pamoja katika Maadhimisho ya Kichaa cha Mbwa Duniani
Wilayani M...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment