Pages

Monday, January 27, 2014

TASWIRA ZA OPERESHENI PAMOJA DAIMA ndani ya KILELEMA

Makamanda wakiwa ndani ya ndege kuelekea katika Operesheni Pamoja Daima, Kilelema.
Chombo kikiwa angani.
Makamanda wakisalimiana na mwenyeji wao wa Kilelema katika Operesheni Pamoja Daima.
Wananchi wa Kilelema wakiwasikiliza viongozi wa Chadema.
(Picha na Chadema)

No comments:

Post a Comment