Pages

Friday, January 24, 2014

TAZAMA PICHA ZA DIAMOND ALIVYOTEMBELEA CITIZEN TV&RADIO NCHINI KENYA


Leo ikiwa ni siku ya pili,tukiwa nchini kenya,ratiba yangu ilianzia 

hotelini kwenye gym kujiweka fit na baada ya hapo

mchana nilihitajika na media
mbali mbali za hapa kwa ajili ya kufanya 

mahojiano,nilianza na kipindi cha Mambo mseto

 cha Radio citizen chini ya Mzazi Willy Tuva...ambaye

 alitaka kufaham mipango yangu kimziki

,next collabos,collabo na wanamzik wa Kenya

 na kuhusu maisha yangu kwa ujumla lakini pia..nilijibu maswali yaliyoulizwa live

na wasikilizaji  wa  Mambo mseto 

na wapenzi wa mziki wangu,...

Safari ikaanzia Hotelin

Baada ya kuwasili

Nikifafanua kuhusu swala la collabo 

nilizofanya na ninazotalajia kuzifanya


Baadhi ya watangazaji wa Citizen


Picha ya pamoja na Mzazi will Tuva


Picha ya pamoja na watangazaji wengine wa Citizen


Chanzo wasafi blog

No comments:

Post a Comment