TAZAMA PICHA::MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE ALIYEPIGWA NA KUUMIZWA USIKU WA KUAMKIA LEO AHAMISHIWA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TEMEKE JOSEPH YONA AHAMISHIWA MOI
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya
Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona (33),
aliyepigwa na watu wasiojulikana kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio
Kawe jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, ametolewa wodini katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuhamishiwa katika Kitengo cha Mifupa
Muhimbili.
No comments:
Post a Comment