Pages

Wednesday, January 8, 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA:::KIJANA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO KWA KUPIGWA NA SHOTI YA UMEME WAKATI AKIKATA MATAWI YA MTI ENEO LA KISANGURA(MARA)

  
Hapa ni baada ya TANESCO kufika eneo la tukio.
 
mwili wa kijana huyo aliyefariki kwa shoti ya umeme ukiwa chini

Mwili wa marehemu ukiwekwa kwenye machela ili kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti ktk hospitali ya Nyerere DDH.

Panga alokuwa akikatia matawi na viatu vyake.

Meneja wa Tanesco na Afisa wa jeshi la polisi wakipata maelezo ya jinsi ilivyokuwa.

Hili ndilo tawi lililodondokea waya wa umeme na kupelekea kifo cha kijana huyo

Huu ndo mti alokuwa anakata marehemu karibu kabisa na waya wa umeme   Ni kijana mmoja aliyekuwa anakata matawi ya mti karibu na waya wa umeme unaoelekea kisangura,ni mitaa ya makutano ya barabara ya kisangura na kibeyo,baada ya kupanda juu ya mti ili kukata matawi hayo ndipo alipokata tawi moja likadondoka juu ya waya na likaegemea ule mti alokuwa anakata ndipo alipopigwa shot na kudondoka na kufa hapome na kupelekea kifo chake.PICHA KWA HISANI YA MDAU WETU
MC Samwel Gasaya


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) 


No comments:

Post a Comment