Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 8, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 08/01/2014

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 08/01/2014.

[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
[Mkoa wa Ruvuma]:


Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara na Shinyanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kusini) ]:



Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:




Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAHADHARI: UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2
YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA PWANI YOTE. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
30°C
16°C
12:30
12:44
D'SALAAM
33°C
26°C
12:11
12:41
DODOMA
31°C
20°C
12:27
12:53
KIGOMA
28°C
21°C
12:53
01:15
MBEYA
24°C
14°C
12:31
01:07
MWANZA
28°C
19°C
12:45
12:57
TABORA
25°C
19°C
12:41
01:03
TANGA
32°C
25°C
12:16
12:38
ZANZIBAR
33°C
26°C
12:11
12:41

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya
Kaskazinna kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Ijumaa:10/01/2014Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 08/01/2014.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment