Pages

Saturday, January 25, 2014

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 25/01/2014

 
 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 25/01/2014.
[Mikoa ya Ruvuma,Kigoma na Tabora]:
 [Mikoa ya Iringa, Mbeya na  Rukwa]:
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika   maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kagera na Mara] :
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika   maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Morogoro (Kusini)]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika   maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Tanga,Dar es salaam na  Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini) ]:
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
31°C                          
12°C               
12:38
12:52
D'SALAAM
32°C           
23°C
12:21
12:47
DODOMA
28°C
19°C
12:37
12:59
KIGOMA   
29°C
20°C
01:02
01:22
MBEYA
22°C
14°C
12:41
01:13
MWANZA
28°C
19°C
12:53
01:05
TABORA
29°C
19°C
12:50
01:10
TANGA
32°C
25°C           
12:25
12:45
ZANZIBAR
33°C           
23°C           
12:21
12:47
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
                            ya Kaskazini na kutoka Kusini kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu: 27/01/2014: Mabadiliko kidogo   
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/01/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment