Pages

Tuesday, January 28, 2014

WAZIRI MKUU PINDA ATEMBELEWA NA UJUMBE WA MUUNGANO WA UTEPE MWEUPE

 David Lamuya kutoka Muungano wa  Utepe  Mweupe  (THE WHITE RIBBON ALLIANCE ) akimvisha utepe mweupe Waziri mkuu  Mizengo Pinda wakati ujumbe huo ulipomtembelea ofisini kwake leo. Kampeni yao inaitwa Wajibika  Mama Aishi.
Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Muungano wa Utepe Mweupe walipo mtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam  .Muungano wa Utepe Mweupe wanaedesha kampeni inayoitwa   Wajibika Mama Aishi.       (PICHA ZOTE  NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment