Pages

Saturday, January 25, 2014

WAZIRI WA FEDHA WA TANZANIA AKUTANA NA WAZIRI WA FEDHA WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WA WIZARA HIZO HUKO ZANZIBAR.

DSC_0004Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada Mkuya akiwa pamoja na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee wakiingia katika Ukumbi wa Mkutano huko katika Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanizbar.
DSC_0012Baadhi ya Viongozi waliohudhuria katika Mkutano wa kuimarisha Umoja na Mashirikiano baina ya Wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Fedha ya Zanzibar. katika Ukumbi wa  Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanizbar.
DSC_0023Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar katika mkutano wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu baina ya Wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Fedha ya Zanzibar. katika Ukumbi wa  Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanizbar.kuliani kwake ni Waziri wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya na mwengine ni Naibu Waziri wa Fedha wa Tanzania Mgulu Nchemba na wakwanza kulia ni Naibu Waziri wa Fedha wa Tanzania Adam Malima. DSC_0045Waziri wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya wapili kushoto akifafanua jambo alipozungumza na Viongozi wa Wizara ya Fedha ya Tanzania na Zanzibar katika Mkutano wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu katika Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanzibar.
DSC_0056Waziri wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya katikati akipokea zawadi ya Mlango na makubadhi vyenye historia ya zanzibar mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu katika Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanzibar.kushoto yake ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee na kulia yake ni Naibu Waziri wa Fedha wa Tanzania Mgulu Nchemba . DSC_0058Waziri wa Fedha wa Tanzania Saada Mkuya wapili kulia na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Omar Yussuf Mzee katikati wakiwa katika picha ya  pamoja na Viongozi wa Wizara ya Fedha ya Tanzania na Zanzibar mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kuimarisha Umoja na mashirikiano ya ukaribu katika Hoteli ya Serena Inn Shangani Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment