Pages

Friday, January 24, 2014

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. MATHIAS CHIKAWE ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, JIJINI DAR

imageWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(katika Jukwaa)  akipokea Salaam ya Utii toka Gadi Maalum ya Kijeshi iliyoandaliwa na Maofisa wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani) alipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Januari 23, 2014, Jijini Dar es Salaam.image_1Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akikagua Gadi Maalum ya Gwaride lililoandaliwa na Maofisa wa Jeshi la Magereza alipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Januari 23, 2014 Jijini Dar es Salaam.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE) image_2Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe akisalimiana na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Gideon Nkana alipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Magereza Nchini leo Januari 23, 2014, Jijini Dar es Salaam.
image_3Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa taarifa fupi ya hali ya Uendeshaji wa Magereza Nchini kabla ya kumkaribisha  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe kuongea na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza alipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Januari 23, 2014.image_4Baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe alipotembelea na kuongea na Maafisa Waandamizi wa Magereza wa Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo Januari 23, 2014 Jijini, Dar es SalaamphotoWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akiongea na Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani)leo Januari 23, 2014 katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(wa pili kulia) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(wa kwanza kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mbarak Abdulwakil(wa kwanza kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments:

Post a Comment