Pages

Saturday, February 15, 2014

ANGALIA RATIBA YA KOMBE LA FA,ARSENAL VS LIVERPOOL NA CHELSEA VS MANCHESTER CITY



LIGI KUU ENGLAND Wikiendi hii itakuwa mapumzikoni ili kupisha michezo ya Raundi ya Tano za Kombe la FA ambapo kazi itaanza leo Jumamosi na kuendelea hadi Jumatatu. 
Kubwa kwenye mechi hizo ni Big Match mbili leo Jumamosi na ile ya Jumapili ionayokumbushia mechi za Ligi Kuu ya England watu kutaka kulipizana kisasi. Leo Jumamosi, huko Etihad, Manchester City wataikaribisha Chelsea huku wakikumbuka kufungwa na Chelsea Bao 1-0, wiki iliyopita kwenye Mechi ya Ligi na Jumapili, ndani ya Emirates, Arsenal, watawaalika Liverpool ambao Jumamosi iliyopita waliinyuka Arsenal 5-1 huko Anfield kwenye Mechi ya Ligi. Ni Kocha Yupi atalimwaga?? kati ya hawa! FA CUP 
Raundi ya Tano 
RATIBA: 
Jumamosi Februari 15 
Sunderland v Southampton 
Cardiff v Wigan 
Sheff Wed v Charlton 
Man City v Chelsea 

Jumapili Februari 16 
Everton v Swansea 
Sheff Utd v Nottm Forest 
Arsenal v Liverpool 
Jumatatu Februari 17 
Brighton v Hull

No comments:

Post a Comment