Pages

Tuesday, February 18, 2014

CATEGORY ZA KILIMANJARO MUSIC MUSIC AWARDS 2014 NA JINSI YA KUPENDEKEZA MSANII


clip_image002Zifuatazo ni category na namba zake ambazo utazitumia kupendekeza majina yatakayoingia katika kinyang'anyiro cha Kilimanjaro Music Awards 2014. Namna ya kupendekeza kwa SMS ni kuandika namba ya kipengele, kuacha nafasi kisha andika jina la unaempendekeza kisha tuma kwenda 15440.
Kwa habari zaidi Bofya Hapa
Soma kwa makini majina ya category na namba zake:

1 Wimbo Bora Wa Mwaka
2 Wimbo Bora Wimbo Bora Wenye vionjo vya asili
3 Wimbo Bora Wa Kiswahili - bendi ...
4 Wimbo Bora Wa Reggae
5 Wimbo Bora Wa Afrika Mashariki
6 Wimbo Bora Wa Afro Pop
7 Wimbo Bora Wa Taarab
8 Wimbo Bora Wa Hip-hop
9 Wimbo Bora Wa RnB
10 Wa Kushirikiana/kushirikishwa
11 Wimbo Bora Wa Ragga/Dancehall
12 Wimbo Bora Wa Zouk/Rhumba
13 Wimbo Bora Wa Ragga/Dancehall
14 Mwimbaji Bora Wa Kike-Bongo Flava
15 Mwimbaji Bora Wa Kiume-Bongo Flava
16 Mwimbaji Bora Wa Kike-Taarab
18 Mwimbaji Bora Wa Kiume-Taarab
19 Mwimbaji Bora Wa kiume-bendi
20 Mwimbaji Bora Wa Kike-bendi
21 Msanii bora wa Hip-hop
22 Msanii Chipukizi anayeibukia
23 Rapper bora wa mwaka
24 Mtumbuizaji bora wa kike
25 Mtumbuizaji bora wa kiume
26 Mtayarishaji Nyimbo Bora - Taarab
27 Mtayarishaji Nyimbo Bora- Bongo Fleva
28 Mtayarishaji Nyimbo Bora – Bendi
29 Mtunzi Bora Wa mwaka
30 Mtunzi Bora Wa Bongo Fleva
31 Mtunzi Bora Wa Bendi
32 Mtunzi Bora Wa Hip Hop
34 Kikundi Bora Wa Bendi
35 Kikundi Bora Cha taraab
36 Kikundi Bora Cha bongo fleva
 


No comments:

Post a Comment