skip to main |
skip to sidebar
DK. SHEIN ATEMBELEA CHUO CHA MAFUNZO YA KAZI ZA MIKONO WANAWAKE
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali
kiitwacho Tilonia,Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa katika siku
ya pili ya ziara yake Nchni India pamoja na Ujumbe aliofuatana
nao,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiangalia vifaa mbali mbali katika chuo cha mafunzo ya Amali
kichofundisha wanawake pekee kutoka nchi mbali mbali Duniani ikiwemo
Zanzibar,katika cha Tilonia,Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa
katika siku ya pili ya ziara yake Nchni India pamoja na Ujumbe
aliofuatana nao,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) kwa
niaba ta Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akitiliana saini makubaliano ya
Uanzishwaji wa Chuo cha Mafunzo ya Amali kwa Wanawake na Chuo cha
Barefoot cha India ambapo muanzilishi wa Chuo hicho Bw.Bunker Roy alitia
saini (kulia) saini hiyo ilifanyika wakati Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika
ziara rasmi Nchini India na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan
Othamn,Ikulu.]
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia)
akibadilishana hati za makubaliano na Bw.Bunker Roy baada ya kutiliana
saini makubaliano ya Uanzishwaji wa Chuo cha Mafunzo ya Amali kwa
Wanawake baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Chuo cha Barefoot
cha India, saini hiyo ilifanyika wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara rasmi
Nchini India na ujumbe wake katika Eneo la Chuo Kijiji cha Tilonia
Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan India.[Picha na Ramadhan
Othamn,Ikulu.]zgRais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akibadilishana mawazo na Bw.Bunker Roy Muanzilishi wa Chuo cha Mafunzo
ya Amali kwa Wanawake katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo
la Rajastan pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Debnath Shaw
(kulia) baada ya Saini ya makubaliano ya uannzishwaji wa Chuo kama hicho
Zanzibar..[Picha na Ramadhan Othamn,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiongozana na Bw.Bunker Roy Muanzilishi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali
kwa Wanawake katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la
Rajastan pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Debnath Shaw (kulia)
baada ya Saini ya makubaliano ya uannzishwaji wa Chuo kama hicho
Zanzibar..[Picha na Ramadhan Othamn,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akigana na Bw.Bunker Roy Muanzilishi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali kwa
Wanawake katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan
pamoja na Balozi wa India Nchini Tanzania Debnath Shaw (kulia) baada ya
Saini ya makubaliano ya uannzishwaji wa Chuo kama hicho
Zanzibar..[Picha na Ramadhan Othamn,Ikulu.
No comments:
Post a Comment