Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel
ESCURE alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ramadhan
Othman,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzamnia Bw.Marcel ESCURE
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na ramadhan Othman,Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiashiria jambo wakati wa akiufunga mkutano wa Tafakuri na maridhiano
katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania katika ukumbi wa White sand
jijini Dar es Salaam,uliowashirikisha wanasiasa,Mashirika ya Kijamii
na Viongozi wa Dini mbali mbali nchini.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa siku mbili kuhusu tafakuri na maridhiano
katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akiufunga mkutano uliowashirikisha watu mbali mbali wakiwemo
Wanasiasa,Viongozi wa Dini na Mashirika ya Kijamii Nchini. [Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Hoteli ya Whitesand Jijini
Dar es Salaam,kuufunga mkutano wa siku mbili wa Tafakuri na maridhiano
katika kuelekea Katiba mpya ya Tanzania leo.[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania pia
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph Mbatia baada ya kuufunga
mkutano wa siku mbili wa Tafakuri na Maridhiano katika kuelekea Katiba
mpya ya Tanzania,Ukumbi wa Whitesand Jijini Dar es Salaam leo jioni.
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment