Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea
na Maafisa Habari na Mawasiliano (hawapo pichani) na kuwataka kuendelea
kutumia mitandao ya kijamii katika kuwasiliana na wananchi, wakati wa
Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Leo Mkoani Tanga. kushoto
ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante ole Gabriel akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano wakati wa
Mkutano wa Maafisa Habari na Mawasiliano unaoendelea mktoani Tanga,
ambapo amewataka kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
Baadhi
ya Maafisa Habari na Mawasiliano wakiwa kimya kwa ajili ya kuwakumbuka
baadhi ya wanataaluma ya habari waliotangualia mbele ya haki, wakati wa
Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Leo Mkoani Tanga.
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano waliohudhuria kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano kinachoendelea Mkoani Tanga.
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiteta
jambo na Kaimu Mhariri Mtendaji Mkuu wa Magazeti ya Serikali (TSN) Bw.
Gabriel Nderumaki (aliyesimama) wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Habari
na Mawasiliano Leo Mkoani Tanga.Kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Idara
ya Utamaduni toka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.
Hermas Mwansoko na Mwisho ni kulia ni Afisa Mkuu Mawasiliano toka
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) Bw. Peter Millanzi.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akiteta jambo na Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara, wakati wa
Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali Leo Mkoani
Tanga.
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiwa
katika picha ya Pamoja na Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano wa
Serikali wakati wa ufunguzi wa wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na
Mawasiliano Leo Mkoani Tanga.Kushoto kwa waziri ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel
akifuatiwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene
na mwisho kushoto ni Afisa Mkuu Mawasiliano toka Mamlaka ya Usimamizi
wa Bandari Tanzania(TPA) Bw. Peter Millanzi. Kulia kwa Waziri ni
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni
na Michezo Prof. Hermas Mwansoko akifuatiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa
Idara ya Habari( MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa na mwisho kulia ni Afisa
Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bi. Gaudensia
Simwanza.(PICHA ZOTE NA HASSAN SILAYO-MAELEZO).
No comments:
Post a Comment