Msanii kijana anayefanya vizuri kwenye
game hili la Hip Hop hapa bongo anajulikana kwa jina la Country Boy jana
alionekana akichora tattoo ya pili katika mwili wake ikionyesha majina
ya family yake akimaanisha jina la kwanza la mama pamoja na watoto wake
wanne akiwemo na yeye mtoto wa mwisho kama inayoona katika picha.
Nilipomuuliza kwanini majina hayo ya
familia alinijibu yeye anachokiona cha kwanza katika maisha yake ni
familia yake kwanza halafu mengine yatafuata.chanzo dj choka
No comments:
Post a Comment