STAA
wa filamu za Kibongo,Kajala Masanja amekula chakula chenye sumu akiwa
kwenye shoo ya msanii wa Bongo Fleva,Izzo B iliyofanyika hivi karibuni
Club 71,iliyopo maeneo ya Tegeta.Kajala
kupitia account yake ya Instagram aliandika..jana nilivyokuwa kwenye
shoo ya izzo ghafla nikaanza kuumwa nikapelekwa home alafu nikaenda
hospital nilivyo pimwa nikakutwa nimekunywa kitu chenye sumu lkn
namshukuru mungu naendelea vizuri asante mungu kwa kila jambo...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA UKIMWI YAPONGEZA UTEKELEZAJI WA AFUA
ZA UKIMWI NJOMBE
-
NA. MWANDISHI WETU – LUDEWA
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI,
Mheshimiwa Dkt. Elibariki Kingu ametoa piongezi kwa Mkoa...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment