Msafara
wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
ukitoka uwanja wa ndege wa Songwe kuelekea mjini Mbeya leo mara baada ya
kuwasili mkoani humo.
Shangwe za waendesha bodaboda zikiendelea. 
Pikipiki zao zikiwa zimeegeshwa nje ya ukumbi. 
Pikipiki zao zikiwa zimeegeshwa nje ya ukumbi
Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza wakati wa mkutano huo leo. 
Hapa ni Shangwe tu 
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea
risala ya waendesha Bodaboda kutoka kwa Msumba Makya Katibu wa Waendesha
Bodaboda. 
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akibebwa
juujuu na waendesha bodaboda mara baada ya kuwahutubia kwenye ukumbi wa
Mkenda leo.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipiga picha
ya pamoja na uongozi wa waendesha Bodaboda kushoto ni mwenyekiti Vicent
Mwashoma na kulia ni Msumba Makya Katibu wa Waendesha Bodaboda
No comments:
Post a Comment