
Katibu
Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda
nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la Kalenga,
Iringa Vijijini, leo jioni. Wengine ni watoto wa marehemu Mgimwa,
Stanisla Mgimwa, na Rozalina Mgimwa.

Kinana akizungumza na familia huyo ya marehemu Mgimwa. Wapili kushoto ni Johakim Mgimwa

Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo

Kinana akiaga

Mmoja wa wanafamilia akilia Kinana alipotembelea familia hiyo ya Mgimwa

Nyumbani kwa marehemu Mgimwa

Kinana
akipokea saluti ya Kijana wa CCM, alipowasili Ifunda, Iringa Vijijini
kabla ya safari ya kwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa. Kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msavatavangu: Picha na theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment