
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Hispania Luis Aragones amefariki
dunia, akiwa na miaka 75, jumamosi ya leo katika clinic moja jijini
Madrid, daktari Pedro Guillen amethibitisha.
Kocha huyu atakumbukwa kwa kuiongoza
Hispania katika awamu mpya ya mafanikio mnamo mwaka 2008, alipoiwezesha
timu hiyo kutwaa kombe la EURO na baada ya hapo alistaafu na kumpisha
Del Bosque. Aliifundisha Spain kuanzia mwaka 2004 - 2008.
WASIFU WA ARAGONES
No comments:
Post a Comment