Pages

Tuesday, February 18, 2014

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA 2014 !

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM
MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO 
MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO.
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA 
VENUES &  REGISTRATION -DROPPING NEXT  
MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM

No comments:

Post a Comment