Pages

Wednesday, February 12, 2014

MATUKIO MBALIMBALI MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI YALIYOANDALIWA NA OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Mkemia kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bi. Lulu Kiwia akitoa ufafanuzi kuhusu Kadi ya Usalama wa Kemikali (Material Safety Data Sheet-MSDS) wakati wa mafunzo
 Washiriki wa mafunzo wakiwa kwenye majadiliano
 Washiriki wa mafunzo wakiwa kwenye majadiliano
Mshiriki wa mafunzo akiwasilisha baada ya majadiliano ya vikundi wakati wa mafunzo
Wataalam wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakiwajibika wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari na taasisi zisizo za kiserikali
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Bidhaa ndugu Daniel Matata akitoa mada wakati wa Mafunzo
Mkemia wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali ndugu Fidelis Segumba akitoa ufafanuzi akielezea sheria DNA na Kanuni zake.CHANZO MWAIPAYA

No comments:

Post a Comment