Juu na
chini ni ndege ya shirika la ndege la Ethiopia Flight ET 702 ikiwa
uwanja wa kimataifa wa Cointrin uliopo Geneva nchini Switzerland, abiria
wakiongozwa na Polisi kuteremka baada ya kutekwa nyara na msaidizi wa
rubani mapema leo na kubadilisha muelekea na kuipeleka Geneva, ndege
hiyo ilikuwa ikielekea Rome, Italia, sasa hizi msaidizi huyo
anashikiliwa na Polisi chini ya ulinzi mkali na bado hajatoa sababu za
kuiteka ndege hiyo, abiria wote wakiwemo wafanyakazi wa ndege hiyo wapo
salama.
Benki Ya CRDB yashinda Tuzo 2 za Kimataifa za Mwajiri Bora – ‘Top Employer’
-
Dar es Salaam, Januari 20, 2025 - Benki ya CRDB imeendelea kung’ara
kimataifa baada ya kutunukiwa tuzo 2 za Mwajiri Bora (Top Employer) na
taasisi ya kim...
43 minutes ago
No comments:
Post a Comment