MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA KUDAIWA KUPIGA PICHA MAHAKAMANI.
Yametimia
polisi wamemakamata mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari
mkoa wa Iringa (IPC) Frank Leonard (kushoto) ambae ni mwandishi wa
magazeti ya serikali wakimtuhumu kupiga picha mahakamani ,hadi sasa
amewekwa chini ya ulinzi wa polisi huku kesi ya mtuhumiwa wa mauwaji ya
Mwangosi ikiendelea kusomwa. Picha kwa hisani ya Francis Godwin-Iringa TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment