NEW GOSPEL VIDEO TOKA KWA MWANADADA JESSICA BM-BARAKA ZA IBRAHIMU
mwanamuziki mashuhuri katika Tasnia ya muziki wa injili hapa
nchini Jessca Hanole maarufu kama Jesca Bm, Ameachia rasmi video yake mpya ya injili ijulikanayo kwa jina la Baraka za ibrahimu chini ya kampuni ya onyango production.Itazame video hiyo hapo chini
No comments:
Post a Comment